´Abdullaah al-Mutlaq ni Ikhwaaniy


Swali: Nimewasikia baadhi ya wanachuoni wakisema kuwa ni wajibu kuwaombea al-Ikhwaan al-Muslimuun. Unasemaje juu ya hili?

Jibu: Ni wepi hao?

Muulizaji: Mfano wa Shaykh ´Abdullaah al-Mutlaq ambaye ni mwanachama wa Kibaar-ul-´Ulamaa´. Anasema kuwa inatakiwa kuwaombea al-Ikhwaan al-Muslimuun.

Jibu: Ndio, kwa sababu yeye ni katika wao.

Swali: Shaykh ´Abdullaah al-Mutlaq ni katika al-Ikhwaan?

Jibu: Ndio.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=6–wybT4dDQ&feature=youtu.be
  • Imechapishwa: 18/05/2018