Swali: Mwanamke wa Kiislamu aliye katika nchi ya kikafiri yuko na msichana anayefanya machafu na anawaasi wazazi wake. Je, inajuzu kumfukuza nyumbani?
Jibu: Hapana. Wamwache hapo nyumbani na wamlinde. Wamlinde na wasimwache akatoke nje. Wamfungie nyumbani na wamlinde.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
- Imechapishwa: 06/08/2017