Aayah kumi za mwisho za Aal ´Imraan wakati wa kuamka

Swali: Je, kusoma Aayah kumi za mwisho za Aal ´Imraan ni Sunnah kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati mtu anapoamka usiku?

Jibu: Ndio, ni Sunnah. Limethibiti hilo katika Hadiyth pindi mtu anapoamka anasoma zile Aayah kumi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 09/11/2018