2-

اللهم إني أعوذُ بِكَ مِنْ شَرِّ ما عَمِلْتُ و مِنْ شَرِّ ما لَمْ أعْمَلْ بَعد

“Ee Allaah! Nakuomba ulinzi kutokamana na shari ya niliyoyafanya na kutokamana na shari ya ambayo [bado] sijayafanya[1].”[2]

[1] Bi maana kutokamana na shari ya madhambi niliyoyafanya na matendo mema niliyoyaacha.

[2] an-Nasaa’iy kwa cheni ya wapokezi Swahiyh na Ibn Abiy ´Aaswim katika ”as-Sunnah” (370 kwa mujibu wa ukaguzi wangu) ambao pia uko na hiyo ziada.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifatu Swalaat-in-Nabiy, uk. 160
  • Imechapishwa: 09/01/2019