Kumfunga mnyama miguu wakati wa kumchinja


Swali: Ni ipi hukumu ya kumfunga mnyama miguu pindi unamchinja kwa ajili ya kumfanyia wepesi mnyama? Pamoja na kuzingatia kwamba kumfunga miguu wakati wa kumchinja na kumfanya asitikisiketikisike inapelekea kutoka damu chache.

Jibu: Hapana, asifungwe. Kufanya hivo kunapelekea ukali wa kumuadhibu. Kwa sababu kule kurusharusha miguu yake kunamfanya kuhisi raha na kumpunguzia machungu. Kwa hivyo asifungwe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=us5uDBlACFA&feature=youtu.be
  • Imechapishwa: 15/07/2021