97. Du´aa ya kuingia sokoni

  Download

209-

لا إلهَ إلاّ اللّه وحدَهُ لا شريكَ لهُ، لهُ المُلْـكُ ولهُ الحَمْـد، يُحْيـي وَيُميـتُ  وَهُوَ حَيٌّ لا يَمُـوت، بِيَـدِهِ الْخَـيْرُ وَهوَ عَلىَ كلّ شيءٍ قَدِيرٌ

”Hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah, hali ya kuwa yupekee hana mshirika, ufalme ni Wake na himdi zote njema, ambaye anahuisha na anafisha. Naye yuhai na hafi, kheri ziko mikononi Mwake; Naye juu ya kila jambo ni muweza.”[1]

[1] at-Tirmidhiy, al-Haakim (01/538), Ibn Maajah na al-Haakim (01/538). Ni nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Ibn Maajah” (02/21) na “Swahiyh-ut-Tirmidhiy” (03/152).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 04/05/2020