92. Du´aa kwa anayechelea shirki

  Download

203-

اللّهُـمَّ إِنّـي أَعـوذُبِكَ أَنْ أُشْـرِكَ بِكَ وَأَنا أَعْـلَمْ، وَأَسْتَـغْفِرُكَ لِما لا أَعْـلَم

”Ee Allaah! Hakika mimi najilinda Kwako kutokamana na kukushirikisha hali ya kuwa najua na nakuomba msamaha kwa nisiyoyajua.”[1]

[1] Ahmad (04/403) na wengineo. Tazama ”Swahiyh-ul-Jaamiy’” (03/233) na ”Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (01/122) ya al-Albaaniy.

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 03/05/2020