86. Kaburi la mwanamke alama moja, kaburi la mwanamme alama mbili


Swali 86: Katika baadhi ya nchi kaburi la mwanamke linawekewa alama moja na la mwanamme linawekewa alama mbili. Je, kitendo hichi kina msingi ijapo kutambua tu kaburi la mwanamke kutokamana na la mwanamme[1]?

Jibu: Sitambui msingi wowote wa kitendo hichi. Sunnah ni kulinganisha kati ya makaburi yote mawili inapokuja katika ukina, uzikaji na kwa juu ya kaburi.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/199).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 61
  • Imechapishwa: 01/01/2022