82. Kusoma Aayah ya Suurah Twaa Haa wakati wa kuzika


Swali 82: Ni ipi hukumu ya kusema:

مِنْهَا خَلَقْنَاكُمْ وَفِيهَا نُعِيدُكُمْ وَمِنْهَا نُخْرِجُكُمْ تَارَةً أُخْرَىٰ

“Kutoka humo [ardhini] Tumekuumbeni na katika hiyo [ardhi] tutakurudisheni na kutoka humo tutakutoeni mara nyingine.”[1]

wakati wa kuzika[2]?

Jibu: Kusema hivo ni Sunnah. Atasema sambamba na hilo:

بسم الله والله أكبر

“Kwa jina la Allaah. Allaah ni mkubwa.”

[1] 20:55

[2] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/196-197).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 57