80. Matamshi ya tatu ya kumswalia Mtume

3-

اللهم صل على محمد و على آل محمد كما صليت على إبراهيم [و آل إبراهيم]، إنك حميد مجيد. و بارك على محمد و على آل محمد كما باركت على [إبراهيم و]آل إبراهيم، إنك حميد مجيد

“Ee Allaah! Msifu Muhammad, jamaa zake Muhammad kama Ulivyomsifu Ibraahiym [na jamaa zake Ibraahiym]. Kwani hakika Wewe ni Mwenye kuhidimiwa na Mwenye kutukuzwa. Mbariki Muhammad, jamaa zake Muhammad kama Ulivyombariki [Ibraahiym na] jamaa zake Ibraahiym. Kwani hakika Wewe ni Mwenye kuhidimiwa na Mwenye kutukuzwa.”[1]

[1] al-Bukhaariy, Muslim, an-Nasaa’iy katika ”´Amal-ul-Yawm wal-Laylah” (54/162), al-Humaydiy (1/138) na Ibn Mandah ambaye amesema: “Kuna maafikiano juu ya usahihi wa Hadiyth hii.” (02/68)

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifatu Swalaat-in-Nabiy, uk. 144
  • Imechapishwa: 02/01/2019