80. Mafundo ya sanda yanafunguliwa ndani ya kaburi


Swali 80: Je, yanafunguliwa yale mafundo [ya sanda] ndani ya kaburi[1]?

Jibu: Hivi ndio bora. Hivi ndivo walivokuwa wakifanya Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum).

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/195).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 57
  • Imechapishwa: 01/01/2022