74. Du´aa ya mfungaji anapoletewa chakula na asile

  Download

185-

”Anapoalikwa mmoja wenu basi aitikie wito. Akiwa amefunga, basi aombe du´aa [kwa yule mwalikaji] na akiwa hakufunga, basi  ale.”[1]

[1] Muslim (02/1054).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 02/05/2020