Swali 71: Kaburi la mwanamke na mwanamme linachimbwa kina kiasi gani[1]?
Jibu: Bora kuchimbwe kwa kiasi ya kimo cha nusu mtu. Kwa sababu kufanya hivo kuko mbali zaidi na khatari ya kuchimbuliwa na wanyama na wengineo.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/189).
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 52
- Imechapishwa: 31/12/2021