69. Du´aa kabla ya kuanza kula

  Download

178-

“Atakapokula mmoja wenu chakula basi ale kwa kuanza na:

بِسْمِ الله

 “Naanza kwa jina la Allaah.”

Akisahau kusema hivo pale mwanzoni basi aseme:

بسم الله في أوَّلِهِ وَ آخِرِهِ

“Naanza kwa jina la Allaah, mwanzo na mwisho wake.”[1]

179-

“Yule ambaye Allaah amemruzuku chakula basi aseme:

اللّهُـمَّ بارِكْ لَنا فيهِ وَأَطْـعِمْنا خَـيْراً مِنْـهُ

”Ee Allaah! Tubarikie nacho na tulishe bora kuliko hichi.”

Yule ambaye Allaah atamnywesha maziwa basi aseme:

اللّهُـمَّ بارِكْ لَنا فيهِ وَزِدْنا مِنْهُ

”Ee Allaah! Tubarikie nayo na utuzidishie.”[2]

[1] Abu Daawuud (03/347) na at-Tirmidhiy  (04/288). Tazama “Swahiyh-ut-Tirmidhiy” (02/167).

[2] at-Tirmidhiy (05/506). Tazama “Swahiyh-ut-Tirmidhiy” (03/158).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 02/05/2020