65. Kumchelewesha maiti ndani ya jokofu miezi kadhaa


Swali 65: Ni ipi hukumu ya kumchelewesha maiti ndani ya jokofu kwa mfano kwa muda wa miezi sita[1]?

Jibu: Hapana neno haja ikipelekea kufanya hivo kwa kiasi cha mafunzo yanayofuatwa.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/183).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 48
  • Imechapishwa: 28/12/2021