64. Yepi makusudio ya kumuharakisha maiti?


Swali 64: Kuharakisha jeneza kunakusudiwa kumswalia na kumuosha[1]?

Jibu: Kinachokusudiwa ni ule utembeaji. Kunaingia ndani yake vilevile kumswalia, kumuosha na kuharakisha kumwandaa. Udhahiri wa Hadiyth unakusanya yote kwa upande wa maana.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/181-182).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 47-48
  • Imechapishwa: 27/12/2021