60. Makatazo ya kuanza kuwatolea salamu makafiri


6- Miongoni mwa mambo yanayopelekea kuwakufurisha makafiri ni kutoanza kuwatolea salamu washirikina na makafiri. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Msianze kuwapa mayahudi na manaswara salamu. Wakiwatolea saamu, basi itikiieni: “Wa ´alaykum.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 89
  • Imechapishwa: 16/10/2018