57. Nguzo ya saba: Kukaa kitako kati ya Sujuud mbili

Maneno yake mtunzi:

“…na kukaa baina ya Sajdah mbili.”

Akiinua kichwa chake kutoka katika Sujuud ataketi kitako mpaka kila kiungo cha mwili kitue pahali pake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 88
  • Imechapishwa: 23/06/2022