56. Je, madhiy na wadiy vinaharibu swawm?

Swali 56: Je, madhiy[1] na wadiy[2] vinaharibu swawm?

Jibu: Hapana.

[1] Ni majimaji yanayofanana na manii yanayotoka kwenye tupu ya mbele kwa sababu ya kucheza na kumwangalia mwanamke.

[2] Ni maji meupe mepesi yanayotoka baada ya kukojoa au wakati wa kubeba kitu kizito.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 73
  • Imechapishwa: 13/06/2017