56. Dalili juu ya viganja vya Allaah 05

56- Ibn Swaa´id ametuhadithia: Muhammad bin ´Awf ametuhadithia: Sulaym bin ´Uthmaan ametuhadithia, kutoka kwa Muhammad bin Ziyaad, kutoka kwa Abu Umaamah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyesema:

“Mola wangu (´Azza wa Jall) ameniahidi kuwaingiza watu 70.000 katika Ummah wangu pasi na hesabu wala adhabu. Katika kila 1000 kuna 70.000; viganja vitatu vya Mola (´Azza wa Jall).”

  • Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 106-109
  • Imechapishwa: 09/04/2018