55. Inafaa kukiswalia kipomoko?


Swali 55: Je, kipomoko kinaswaliwa[1]?

Jibu: Kikizaliwa katika mwezi wa tano na baada ya hapo basi kinaoshwa, kuswaliwa na kuzikwa katika makaburi ya waislamu.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/164).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 41
  • Imechapishwa: 25/12/2021