51. Ni ipi hukumu ya kuamka kwa ajili ya Fajr ilihali mtu yuko katika janaba?

Swali 51: Ni ipi hukumu ya kulala katika hali ya janaba na kukaadhiniwa kwa ajili ya swalah ya Fajr ilihali mtu yuko katika hali hiyo hiyo?

Jibu: Swawm yake ni sahihi na ni wajibu kwake kuoga.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 69
  • Imechapishwa: 13/06/2017