50. Kuirefusha Rukuu´


Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiifanya Rukuu´ yake, kusimama kwake baada ya Rukuu´, Sujuud yake na kitako chake baina ya Sujuud mbili zinataka kukaribiana urefu[1].

[1] al-Bukhaariy na Muslim. Imetajwa katika ”Irwaa’-ul-Ghaliyl” (331).

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swifatu Swalaat-in-Nabiy, uk. 116
  • Imechapishwa: 17/02/2017