50. Dalili juu ya sura ya Allaah 5


50- Ahmad bin Muhammad bin Ismaa´iyl at-Twuusiy ametuhadithia: ´Aliy bin Ishkaab ametuhadithia: Haaruun bin Ma´ruuf ametuhadithia: Jariyr ametuhadithia, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Habiyb bin Abiy Thaabit, kutoka kwa ´Atwaa’, kutoka kwa Ibn ´Umar aliyesimulia ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Usiukebehi uso. Kwani hakika Allaah amemuumba Aadam kwa sura ya Mwingi wa huruma (´Azza wa Jall).”

  • Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 99-101
  • Imechapishwa: 04/04/2018