48. Je, kisimamo cha usiku ni wajibu?

Swali 48: Je, kisimamo cha usiku ni wajibu?

Jibu: Kisimamo cha usiku sio wajibu. Ni kitu tumewekwa katika Shari´ah. Swawm ni faradhi na kisimamo cha usiku ni Sunnah.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 67
  • Imechapishwa: 13/06/2017