47. Maneno ya ´Abdullaah bin ´Amr kuhusu mikono ya Allaah


49- ´Abdullaah bin ´Amr (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesema:

“Wakati Allaah alipomuumba Aadam akamtikisa kama mkoba ambapo wakadondoka kama mabuu. Kisha akashika mikamato miwili na akauambia ule wa kuume: “Peponi.” Akauambia ule wa kushoto: “Motoni.”[1]

[1] al-Bayhaqiy katika ”al-Asmaa’ was-Swifaat” (713).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 34
  • Imechapishwa: 10/07/2019