Swali 46: Je, inafaa kuwafasiria Khutbah watu wakiwa sio waarabu ili waweze kufahamu maana yake[1]?

Jibu: Ndio, inafaa kufanya hivo. Atoe Khutbah kwa kiarabu na aifasiri Khutbah kwa ile lugha ambayo wanaifahamu wasikilizaji. Lengo ni kuwawaidhi, kuwakumbusha na kuwafunza hukumu za ki-Shari´ah, jambo ambalo halipatikani isipokuwa kwa tarjama.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (12/370).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam Swalaat-il-Jumu´ah wal-Jamaa´ah, uk. 97
  • Imechapishwa: 05/12/2021