45. Ni wajibu kwa wasimamizi kumlishizia maiti aliyekufa kabla ya kutimiza Ramadhaan?


Swali 45: Kuna mtu asiyeweza kufunga amekufa kabla ya Ramadhaan kwisha. Je, ni wajibu kwa wasimamizi wake kumlishizia?

Jibu: Sio wajibu kwa wasimamizi wake kumlishizia.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 63
  • Imechapishwa: 13/06/2017