47. Pongezi ya kupata mtoto na jibu lake

145-

بَارَكَ اللَّهُ لَكَ فِي الْمَوْهُوبِ لَكَ وَشَكَرْتَ الْوَاهِبَ وَبَلَغَ أَشُدَّهُ وَرُزِقَتَ بِرَّهُ

”Allaah akubariki katika ulichopewa, umshukuru aliyekupa, afike kuwa mkubwa na uruzukiwe wema wake.”

Aliyepongezwa atamjibu kwa kusema:

باَرَكَ اللَّهُ لَكَ وَبارَكَ عَلَيْكَ وَجَزَاكَ اللّهُ خَيْراً وَرزَقَكَ اللَّهُ مِثْلُهُ وأَجْزَلَ َثَوابَكَ

”Allaah akubariki, baraka ziwe juu yako, Allaah akujaze kheri, Allaah akuruzuku mfano wake na afanye nyingi thawabu zako.”[1]

[1] Tazama ”al-Adhkaar”, uk. 349 cha an-Nawawiy na ”Swahiyh-ul-Adhkaar lin-Nawawiy” (02/713) cha Sulaymaan al-Hilaaliy.

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 29/04/2020