41. Nguo iliopatwa na utoko


Swali 41: Kipi kinachomlazimu ambaye utoko umegusa mwili au nguo zake?

Jibu: Ikiwa utoko huo ni msafi, basi hakuna chochote kinachomlazimu. Na ikiwa utoko huo ni najisi (nao ni ule ambao unatoka kwenye kifuko cha uzazi), basi inamlazimu kuuosha.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: 60 su-aal wa jawaab fiy Ahkaam-il-Haydhw, uk. 36