41. Mtu afanye nini kwa mgonjwa ambaye hakufunga kwa miaka miwili?


Swali 41: Kuna mgonjwa mmoja ambaye hakufunga kwa miaka miwili. Je, alishiziwe au afungiwe?

Jibu: Alishiziwe.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 60
  • Imechapishwa: 13/06/2017