41. Du´aa wakati jogoo, punda na mbwa inapolia


175- Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Mkisikia punda analia, basi ombeni kinga kwa Allaah dhidi ya Shaytwaan. Kwani hakika amemuona Shaytwaan. Na mkisikia jogoo anawika, basi muombeni Allaah fadhila Zake. Kwani hakika amemuona Malaika.

176- Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Mkisikia mbwa apiga kelele na punda analia usiku, basi ombeni kinga kwa Allaah dhidi yavyo. Vinaona vitu msivyoona.”

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 108-109
  • Imechapishwa: 21/03/2017