41. Dalili ya kumi na tisa kutoka katika Sunnah juu ya mikono ya Allaah

42- Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Mola wangu (´Azza wa Jall) ameniahidi kuwaingiza watu 70.000 kutoka katika Ummah wangu na kila elfumoja kuwaombea 70.000. Kisha akanigawia migawanyo mitatu kwa kiganja Chake.”[1]

[1] at-Tirmidhiy (2437), Ibn Maajah (4286), Ahmad (5/268), Ibn Abiy ´Aaswim (589), at-Twabaraaniy katika ”al-Mu´jam al-Kabiyr” (7520) na al-Bayhaqiy katika ”al-Asmaa’ was-Swifaat” (723). at-Tirmidhiy amesema:

“Hadiyth ni nzuri na geni.”

Ibn Kathiyr amesema:

”Cheni ya wapokezi ni nzuri. (Tafsiyr al-Qur-aan al-´Adhwiym (1/513))

Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (2/582).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 31
  • Imechapishwa: 08/07/2019