41. Aina ya kumi na moja ya majina yaliyochukizwa


10- Wanachuoni wengi wanaonelea kuchukizwa kuitwa kwa majina ya Suurah za Qur-aan kama mfano wa Twaa Haa, Yaa Siyn, Haa Miym na kadhalika. Kuhusiana na mtazamo wa ´Awwaam kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anaitwa Twaa Haa na Yaa Siyn sio sahihi.

  • Mhusika: ´Allaamah Bakr bin ´Abdillaah Abu Zayd
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tasmiyat-ul-Mawluwd, uk. 29
  • Imechapishwa: 18/03/2017