40. Mume kutokubali maovu katika harusi yake


38- Kujizuia kwenda kinyume na Shari´ah

Ni wajibu kwake kukataa kila ambacho kinaenda kinyume na Shari´ah na khaswa yale yaliyozoeleka kwa mfano wa minasaba kama hii mpaka watu wengi wakafikiria – na hilo ni kwa sababu ya kunyamaza kwa wanachuoni – kwamba ni mambo hayana ubaya. Mimi nitazindua yale mambo muhimu hapa ikiwa ni pamoja na yafuatayo:

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Aadaab-uz-Zafaaf, uk. 185
  • Imechapishwa: 27/03/2018