4. Mnasemaje juu ya Allaah kuwa juu ya viumbe na kulingana juu ya ´Arshi?


Swali 4: Mnaonaje kuhusu Allaah kuwa juu ya waja na kulingana juu ya ´Arshi?

Jibu: Tunamtambua Mola wetu kuwa juu kwa njia zote:

1- Kuwa juu kwa dhati.

2- Kuwa juu kwa hadhi na sifa.

3- Kuwa juu kwa nguvu.

Ametengana na viumbe Wake na amelingana juu ya ´Arshi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdur-Rahmaan bin Naaswir as-Sa´diy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahamm-ul-Muhimmaat, uk. 28-32
  • Imechapishwa: 25/03/2017