37. Mume asifichue siri za mke


Miongoni mwa haki za mke juu ya mume wake asifichue siri yake na asiwazungumzie wengine yale yanayotendeka nyuma ya mlango wao unapofungwa. Khaswa yale yanayouhusiana na jimaa, jambo ambalo tumeshaligusia katika mnasaba wa haki za mume juu ya mke wake.

  • Mhusika: Shaykh Sulaymaan bin Saliym ar-Ruhayliy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Haqq-uz-Zawjayn, uk. 55
  • Imechapishwa: 24/03/2017