37. Dalili juu ya kucheka kwa Allaah 5


36- Yuusuf bin Ya´quub an-Naysaabuuriy ametuhadithia: Naswr bin ´Aliy ametuhadithia: al-Husayn bin Abiy ´Aruubah, al-Hajjaaj bin Minhaal na al-Muhanna’ bin Shibl wametuhadithia: Hammaad bin Salamah ametuhadithia, kutoka kwa ´Aliy bin Zayd, kutoka kwa ´Amaarah al-Qurashiy, kutoka kwa Abu Burdah, kutoka kwa Abu Muusaa al-Ash´ariy, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Mola wetu Atajionyesha hali akicheka.”

  • Mhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Swifaat, uk. 76-77
  • Imechapishwa: 02/03/2018