36. Maneno ya Ibn Aslam kuhusu mikono ya Allaah

37- Imesihi kupokelewa kutoka kwa Zayd bin Aslam aliyesema:

“Wakati Allaah alipoiandika Tawraat kwa mkono Wake akasema: “Kwa jina la Allaah. Haya yameandikwa na Allaah kwa mkono Wake kwenda kwa mja Wake Muusa.”[1]

[1] as-Sunnah (576) ya Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal.

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 29
  • Imechapishwa: 04/07/2019