34. Du´aa katika kukaa mahala fulani


142- Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Mwenye kukaa mahala fulani na akasema:

أَعُوذُ بِكَلِمَاتِ الله التامَّاتِ من شَرِّ مَا خَلَقَ

“Najikinga kwa Maneno ya Allaah yaliyotimia na shari ya Alichokiumba.”

hakitomdhuru chochote mpaka atapotoka mahala pale.”

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ul-Kalim at-Twayyib, uk. 96
  • Imechapishwa: 21/03/2017