32. Uwajibu wa kuitikia mwaliko hata kama mtu amefunga


30- Kuitikia mwaliko ijapokuwa mtu amefunga

Mtu anatakiwa kuitikia mwaliko ijapokuwa atakuwa amefunga kutokana na maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Mmoja wenu atakapoitwa kwenye chakula basi aitikie; akiwa hakufunga basi ale na akiwa amefunga basi amuombee du´aa.”[1]

[1] Ameipokea Muslim (04/153), an-Nasaa´iy katika “al-Kubraa” (02/62), Ahmad (02/507), al-Bayhaqiy (07/263) na matamshi ni yake kupitia Hadiyth ya Abu 154-155ayrah aliyeipokea kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Aadaab-uz-Zafaaf, uk. 154-155
  • Imechapishwa: 24/03/2018