32. Ni ipi hukumu ya mwenye kufunga na haswali?

Swali 32: Ni ipi hukumu ya mwenye kufunga ilihali haswali?

Jibu: Swawm yake si sahihi ikiwa haswali. Allaah akimwongoza atamsamehe. Tawbah inafuta ya kabla yake.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 46-47
  • Imechapishwa: 12/06/2017