32. Muumbaji wa vitu hivi ndiye Mwenye kustahiki kuabudiwa


Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:

Ibn Kathiyr (Rahimahu Allaah) amesema:

“Muumbaji wa vitu hivi ndiye Mwenye kustahiki kuabudiwa.”

MAELEZO

Ibn Kathiyr – Imaad-ud-Diyn Abul-Fidaa´ Ismaa´iyl bin ´Umar al-Qurashiy ad-Dimashqiy. Muhifadhi anayejulikana, mtunzi wa wa “at-Tafsiyr” na “at-Taariykh” na mmoja katika wanafunzi wa Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah. Alikufa mwaka wa 774.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 53
  • Imechapishwa: 22/05/2020