32. Aina ya pili ya majina yaliyochukizwa

2- Imechukizwa kuitwa kwa majina yaliyo na maana ya shahawa. Wasichana wengi wanaitwa hivo. Baadhi ya majina hayo ni:

1- Ahlaam (ndoto)

2- Ariyj (harufu)

3- ´Abiyr (harufu)

4- Ghaadah (mwanamke mrembo)

5- Fitnah (fitina)

6- Nihaad (mwanamke kijana aliye na matiti yalosimama)

7- Waswaal (jimaa)

8- Faatin (anayefitinisha kwa urembo wake)

9 na 10 – Shaadiyah na Shaadiy (mwimbaji)[1].

[1] Tazama “as-Silsilah as-Swahiyah” (216).

  • Mhusika: ´Allaamah Bakr bin ´Abdillaah Abu Zayd
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tasmiyat-ul-Mawluwd, uk. 26
  • Imechapishwa: 18/03/2017