Swali 30: Ni ipi hukumu ya kumtakia rehema anayechemua na imamu anatoa Khutbah siku ya ijumaa[1]?

Jibu: Haikuwekwa katika Shari´ah kumtakia rehema kutokana na ulazima wa kunyamaza. Kama ambavo anayepiga chafya hatakiwi rehema ndani ya swalah vivyo hivyo hatakiwi rehema anayechemua wakati wa Khutbah.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (12/339).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam Swalaat-il-Jumu´ah wal-Jamaa´ah, uk. 70
  • Imechapishwa: 02/12/2021