Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:

Dalili ya kuchinja ni Kauli Yake (Ta´ala):

قُلْ إِنَّ صَلَاتِي وَنُسُكِي وَمَحْيَايَ وَمَمَاتِي لِلَّـهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ لَا شَرِيكَ لَهُ ۖ وَبِذَٰلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُسْلِمِينَ

“Sema: “Hakika swalah yangu, kichinjwa changu, uhai wangu na kufa kwangu ni kwa ajili ya Allaah pekee, Mola wa walimwengu, hali ya kuwa hana mshirika, na kwa hayo ndio nimeamrishwa, nami ni Muislamu wa kwanza.” (al-An´aam 06 : 162-163)

na katika Sunnah:

“Allaah Amemlaani yule mwenye kuchinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah.”[1]

MAELEZO

Kichinjwa pia ni ´ibaadah. Amesema (Ta´ala):

قُلْ إِنَّ صَلَاتِي وَنُسُكِي

“Sema: “Hakika swalah yangu, kichinjwa changu… “

Bi maana kichinjwa changu.

[1] Muslim (1978).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 36
  • Imechapishwa: 02/01/2017