Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akamfanya Musw´ab bin ´Umayr kuongoza kikosi. Akampa bendera moja ´Aliy bin Abiy Twaalib na bendera nyingine mwanamume kutoka katika Answaar. Bendera ya Answaar ilikuwa na Sa´d bin Mu´aadh. Akamfanya Qays bin Abiy Sa´sa´ kuwa msimamizi.
Wakati Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipofika karibu na Swafraa´ akamtuma Basbas bin ´Amr al-Juhaniy, ambaye ni mshirika wa Banuu Saa´idah, na ´Adiy bin Abiyz-Zaghbaa al-Juhaniy, mshirika wa Banuun-Najjaar, kwenda Badr kupeleleza khabari za msafara.
- Mhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Kathiyr ad-Dimashqiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Fusuwl fiy Siyrat-ir-Rasuwl, uk. 46
- Imechapishwa: 27/04/2018
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akamfanya Musw´ab bin ´Umayr kuongoza kikosi. Akampa bendera moja ´Aliy bin Abiy Twaalib na bendera nyingine mwanamume kutoka katika Answaar. Bendera ya Answaar ilikuwa na Sa´d bin Mu´aadh. Akamfanya Qays bin Abiy Sa´sa´ kuwa msimamizi.
Wakati Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipofika karibu na Swafraa´ akamtuma Basbas bin ´Amr al-Juhaniy, ambaye ni mshirika wa Banuu Saa´idah, na ´Adiy bin Abiyz-Zaghbaa al-Juhaniy, mshirika wa Banuun-Najjaar, kwenda Badr kupeleleza khabari za msafara.
Mhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Kathiyr ad-Dimashqiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Fusuwl fiy Siyrat-ir-Rasuwl, uk. 46
Imechapishwa: 27/04/2018
https://firqatunnajia.com/27-wabebaji-wa-bendera-badr/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)