La tatu: Kubaleghe kunajulikana kwa hedhi na si kwa nifasi. Kwa kuwa mwanamke hawezi kushika mimba mpaka amwage usingizini. Anabaleghe kwa kumwaga usingizini kabla ya kushika ujauzito.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ad-Dimaa’ at-Twabiy´iyyah lin-Nisaa’ http://www.ibnothaimeen.com/all/books/article
  • Imechapishwa: 30/10/2016