25. Ni ipi hukumu ya kutumia mafuta na penesilini kwenye kidonda?

Swali 25: Ni ipi hukumu ya kutumia mafuta na penesilini kwenye kidonda? Vinaharibu swawm[1]?

Jibu: Mafuta na penesilini kwenye kidonda havidhuru kwa kuwa havifiki mwilini.

[1] Kutoka “Fath-ur-Rabb al-Waduud” (1/250).

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 40
  • Imechapishwa: 12/06/2017