Abu Ja´far at-Twahaawiy (Rahimahu Allaah) amesema:

19- Hakuwa ni Muumbaji baada ya kuumba wala Mwanzilishi viumbe baada ya kuanzisha viumbe.

MAELEZO

Miongoni mwa majina ya Allaah (´Azza wa Jall) ni Mwanzilishi viumbe (الباري) na maana yake ni Muumbaji (الخالق). Alianzilisha viumbe, bi maana aliwaumba. Yeye ni Mwanzilishi viumbe. Jina hili halikutengana na dhati Yake na halina mwanzo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 44
  • Imechapishwa: 18/09/2019